MAELEKEZO

 

1.SISI NI NANI?
Jina letu ni Swahili movies na tunapatikana Tanzania 

2.TUNAHUSIKA NA NINI?
Tunahusika na utoaji wa huduma bora ya movie aina zote zilizotafsiliwa kwa Kiswahili.
3.TUNATOAJE HUDUMA YETU?
Huduma yetu ya movie tunaitoa kupitia hii app yetu ya Swahili movies na wala sio WhatsApp kama wengi walivyozoea.
4.MAELEKEZO JINSI YA KUTUMIA HII APP?
BONYEZA HAPA
* JINSI YAKUDOWNLOAD MOVIE 
BONYEZA HAPA
5.MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KABLA YA KUJIUNGA NA HUDUMA YETU?
Season zote kuanzia episode 1 hadi 8 ni bure (ofa) lakini kuanzia episode ya 11 hadi mwisho zimefungwa na zinafunguka kwa  waliojiunga na huduma yetu.  
Single movie zote zimefungwa na zinafunguka kwa waliojiunga na huduma yetu.
Ili kuangalia movie lazima uwe na MB, lakini pia unaweza *kudownload movie kama utahitaji.
6.GHARAMA ZA KUJIUNGA NA HUDUMA YETU?
Mwezi mmoja – 3,000  
Miezi miwili – 6,000  
Miezi mitatu – 9,000
7.MTEJA ANAPOJIUNGA NA HUDUMA YETU?
 Tunamfungulia movie zote zilizopo kwenye app.  
Tunamuongeza kwenye group letu la WhatsApp kwa ajili ya taarifa na maelekezo muhimu.
 8.UWAMINIFU NI ASILIMIA NGAPI?
Huduma yetu ni salama kwa asilimia 100 na watoa huduma wetu wanajua maana ya uaminifu.
9. KAMA UNAHITAJI KUJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE. 
 BONYEZA HAPA


MAELEKEZO ZAIDI ONGEA NA MSAIDIZI WETU WA AL

BONYEZA HAPA

Maoni